OFFER: Nunua jiko upate zawadi ya BLUETOOTH SPEAKER BUREEE ! — OFFER INAISHA baada ya wiki 2
0759 027 296
PT GD200 GAS STOVE

JIKO LA KISASA, IMARA NA LINAOKOA MATUMIZI YA GESI .

jiko letu ni jiko lenye muonekano wa kisasa, automatic ignition, matumizi madogo ya gesi na uimara unaoaminika kwa familia, biashara na wapishi wa kila siku.

Pinetech PT GD200 Gas Stove

Low Gas Consumption

Husaidia kupika kwa ufanisi zaidi bila kupoteza gesi.

Automatic Ignition

Washa haraka bila kutumia kiberiti kila wakati.

Strong Glass Top

Muonekano wa kisasa na uimara unaoaminika.

Easy To Clean

Black glass top rahisi kufuta na kubaki inang’aa.

IMARA KAMA CHUMA. IMEJENGWA KUDUMU.

Hili sio jiko la kawaida. Ni jiko la matumizi ya kila siku — nyumbani, biashara ndogo, restaurant na familia kubwa.

Durability Test

Stove imeundwa kuhimili matumizi ya kila siku, uzito wa vyombo vikubwa, joto, na pressure ya jikoni.

Luxury Black Glass

Design yake inafanya jikoni ionekane modern, safi na ya premium bila kutumia gharama kubwa.

Inafaa kwa nani?

Mama wa nyumbani

Kupika haraka, kuokoa gesi na kufanya jikoni iwe safi.

Wanandoa wapya

Jiko la kisasa kwa kuanza maisha mapya kwa style.

Biashara

Vitumbua, chai, maandazi, chipsi na vyakula vya kila siku.

NUNUA SASA UPATE, ZAWADI YA Bluetooth Speaker BURE !

Offer inaisha baada ya wiki 2. Wasiliana nasi sasa kupitia WhatsApp.


NUNUA SASA

Wateja wanasema nini?

“Jiko ni imara sana na linaonekana la kisasa jikoni.”
“Linawaka haraka, linapika vizuri na ni rahisi kulisafisha.”
“Nilinunua kwa matumizi ya biashara, mpaka sasa linafanya kazi vizuri.”

Maswali ya mara kwa mara

Je, mnatuma mikoani?

Ndiyo, tunatuma mikoani kupitia mabasi/cargo kulingana na eneo lako.

Je, lina warranty?

Ndiyo, lina warranty ya mwaka 1 kulingana na masharti ya bidhaa.

Nawezaje kuagiza?

Bonyeza NUNUA SASA.

NUNUA